Saturday, May 17, 2014

NAHITAJI MILIONI 700,000 KUOKOA MAISHA YANGU.

Ugonjwa wa saratani unazidi kushika kasi kila kukicha hapa nchini. Pia umegharimu maisha ya watu wengi kutokana na huo ugonjwa bado haujapatiwa tiba madhubuti.
Mbali na kugharimu maisha ya watu wengi, ugonjwa huu umekuwa tishio kutokana na gharama kubwa za matibabu zinazowagharimu wagonjwa.

TAARFA FUPI KUHUSU KIFO CHA DIRECTOR ADAM KUAMBIANA.

DSC02051Hizi ni taarifa zingine za ghafla ambazo Tanzania tumezipokea kwa mshtuko na masikitiko ni kifo cha miongoni mwa-madirector wa Tanzania ambao ni waigizaji pia,huyu ni Adam Kuambiana ambaye taarifa za kifo chake zimeanza kusambaa mchana wa Mei 17.

HIZI NDIYO PICHA ZA MWILI WA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA, BAADA YA KUFARIKI GHAFLA LEO HII

Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukitolewa nje ya Hospitali  ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kupelekwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana huu.

BAADA YA UGUMU WA MDA MREFU, JANA ARSENAL YA TWAA UBINGWA WA FA.

Going nowhere: Arsenal boss Arsene Wenger has confirmed he will be staying on as managerArsenal manager Arsene Wenger has vowed to stay at the club after seeing his Gunners side end their nine-year wait for silverware by beating Hull City in the FA Cup final

ETI TRUVADA INATUMIKA KUZUIA UKIMWI, BADALA YA KUACHA ZINAA.

Dar es Salaam. Wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili na wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja sasa wanatumia dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi aina ya Truvada kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya ugonjwa huo badala ya kutumia mipira ya kondomu.

JAJI WARIOBA AFIWA NA MKEWE. RAIS KIKWETE AMFARIJI JAJI WARIOBA KWA KUFIWA NA MKEWE.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe
 wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe
 wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia bada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe
 wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,  Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na Jaji Joseph Warioba na mkewe 
Mama Evelyne Warioba walipokwenda kuhani na kutoa heshima za mwisho katika msiba wa mama mkwe
 wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mama Evelyne Warioba  alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi 
Marehemu Hedwig Laurent Ojjik  Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mama Evelyne Warioba  alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi 
Marehemu Hedwig Laurent Ojjik  Oysterbay jijini Dar es salaam leo Mei 17, 2014 Picha na Ikulu

AIBU KUBWA BUNGENI.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akisoma hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2014/15, bungeni mjini Dodoma juzi. Viti vya wabunge wa Kambi ya Upinzani vikiwa wazi baada ya wabunge hao kususa na kutoka nje kutokana na kukasirishwa na kauli ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Federick Werema aliyoitoa bungeni. Picha na Edwin Mjwahuzi

MBU ANAYE AMBUKIZA HOMA YA DENGUE , NISHIDA!!!!!!!!!!!

Dar es Salaam. Serikali imetenga zaidi ya Sh700 milioni kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa Homa ya Dengue ambayo imeendelea kushika kasi huku wengine wakipoteza maisha.

HOMA YA DENGUE IMEKUA GUMZO DAR: Mabasi 600 kupuliziwa dawa

Ni yale yaendayo mikoani Yatakayopuuza kukiona
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki
Serikali imeiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kuhakikisha mabasi yote 600 yanayofanya safari zake mikoani yanapulizia dawa ya kuondoa mazalia ya mbu wanaoeneza ugonjwa wa dengue.

FILAMU MPYA YA JOTI SANDUKU LA BABU, KUINGIA SOKONO HIVI KARIBUNI.

Msanii Lucas Mhavile 'Joti'baada ya kukaa kimya kwa mda sasa ameibuka na filamu yake ya Joti Sanduku la Babu ambayo amecheza katika husika tofauti tofauti.

DIAMOND KUSHINDA TUZO YA BET.

Diamond1_bb07b.jpg
1174840_609604362394715_991134628_n_3f33c.jpg

Msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz ameipa tena heshima Bendera ya Tanzania kwa kuwa kwenye kipengelecha msanii bora wa kimataifa (Best International Act) Hii ni hatua kubwa  kwa Diamond baada  ya siku chache  tu nyuma alitangazwa kwenye tuzo za MTV Base (Mama Awards)

SOMA VICHWA VYA MAGAZETI YOTE YA TANZANIA HAPA.

1_996ae.jpg

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIYA YA SALVA RWEYEMAMU.

D92A2854
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye Private Brian Salva Rweyemamu kilichotokea jana katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini baada ya kuugua kwa muda mfupi. Marehemu Private Brian anatarajiwa kuzikwa LEO mchana (Jumamosi) katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA VILAINISHI VYA CASTROL NA KITUO CHA MAFUTA CHA OYSTERBAY, DAR.

  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti akiongea katika uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.

HII NDIO FAIDA NA ASALA YA MPIRA.

 

KINANA AFIKA MPAKA WILAYA YA KALIUA.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akisikiliza wimbo wa mapokezi kutoka kwa wasanii wa kundi la Hiari ya Moyo mara baada ya kuwasili kwenye Jimbo la Urambo Magharibi ,wilaya ya Kaliua.

DIAMOND'S LIVE PERFOMANCE ON MTVBASE ROAD TO MAMA.

Msanii ambaye yupo juu kwenye gemu ya muziki wa kizazi kipya Diamond akifanya onesho LIVE chini ya udhamini wa MTVBASE ROAD TO MAMA iliyofanyaka Club Bilicana usiku wa Ijumaa May 16, 2014 na baadae kuruka kuelekea Uingereza ambako leo atafanya onesho lingine

Friday, May 16, 2014

MAN UNITED JAPOKUA ILIKUA NA HARI MBAYA NA KUISHIA NAFASI YA 7, LAKINI NDIO TIMU YA UINGEREZA ILIYO PATA FAIDA MSIMU HUU.


Manchester Utd ilipata faida kubwa licha ya kushindwa uwanjani.
Timu ya Manchester United imeripoti faida ya asilimia 20 katika kipindi cha msimu huu ambao haikunawiri uwanjani .

ASKARI WA OBAMA AKUTWA KALEWA CHAKARI.

Maafisa wa idara ya ulinzi kwa Obama wakimuandalia njia yakupita
Maafisa watatu kutoka katika idara ya kumlinda Rais wa Marekani Barack Obama katika ziara yake nchini Uholanzi, wamerejeshwa nyumbani kwa kosa la utovu wa nidhamu.

DAWA YA MENO INAVYO ATHIRI MBEGU ZA UZAZI.

Sabuni pia zinasemekana kuwa na kemikali zinazoathiri mbegu za wanaume
Kemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hutumiwa kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta ya kujikinga kutokana na miale hatari ya jua zinaweza kuharibu mbegu za uzazi za wanaume.

MWANAMKE KUNYONGWA KWA KUASI DINI SUDANI.

Serikali imesema kuwa Sudan sio nchi ya kwanza kutekeleza sheria za kiisilamu
Mahakama nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo.

TATIZO LINALO WASUMBUA WANAUME WENGI KATIKA NYUMBA ZAO , NAMNA LINAVYO TIBIKA.

Dismas Lyassa 
Kwa ajili ya matatizo mbalimbali yaliyo katika jumuiya, pamoja na kwamba tendo la ndoa ni jambo la msingi kwa wale waliooana, kuna wanaume aidha hawana uwezo wa kulifanya tendo hili au wana hisia ndogo na nguvu kidogo za kutekeleza tendo hili.
HAMU ya tendo la ndoa kwa mwanadamu au mwanamke ni moja ya hisia za msingi kwa mwanadamu wa kawaida kama ilivyo njaa au usingizi.

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAONGOZA KWA UBABAISHAJI BUNGENI.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Naibu wake Mahmoud Mgimwa wakimsikiliza kwa makini Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani wa wizara hiyo, Mchungaji Peter Msigwa alipokuwa akitoa CD bungeni aliyodai inaonyesha moja ya kampuni inayofanya uwindaji haramu kwenye baadhi ya mbuga za wanyama nchini. Picha na Edwin Mjwahuzi

Wednesday, May 14, 2014

KILICHO MFANYA J-Z ALAMBWE VIBAO NA SHEMEJI WAKE.

Beyonce na mumewe Jay -z wakionekana kuondoka na baada ya mdogo wake kumwasha vibao

JK AUDHURIA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KILICHO ANDALIWA NA NSSF MJINI ARUSHA.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

WATU WAZIDI KUPUKUTIKA KWA AJIRI YA HOMA YA DENGUE, GHARAMA YA VIPIMO NI 50,000.

Waombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili wa Daktari Gilbert Buberwa wa Hospitali ya Temeke kwa ajili ya kuagwa. Daktari huyo, aliyefariki kwa kuugua homa ya dengue, anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam. Picha na Rafael Lubava

Sunday, May 11, 2014

KICHEKESHO CHA LEO.

MBOWE ATAJA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI(KIVULI).

Nafasi ya Naibu Kiongozi wa Upinzani Ubungeni iliyokuwa ikishikiliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe itatangazwa baadaye Freeman Mbowe,

JE? WAZEE WAIO KUA NA NDUGU NI JUKUMU LA NANI KUWATUNZA NA KUWAPA MAITAJI YAO YOTE MUHIMU.


Andrea ni mwanafunzi kutoka Swiss aliyeishi Tanzania akifuatilia matunzo ya Wazee wetu wa

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII(NYALANDU) AKABIDHIWA MAGERI ILI KUIMALISHA KAMPENI YA KUTOKOMEZA UJANGIRI PAMOJA NA MAUAJI YA TEMBO.

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akipokea funguo ya moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania,

RAIS KIKWETE ATEMBELEA KIWANDA CHA SARUJI KIKUBWA KULIKO VYOTE DUNIANI.

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mfanyabiashara na mwekezaji maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote katika uwanja wa ndege wa kiwanda chake cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant kilichoko kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9, 2014. Kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ishaya Samaila Majanbu