Portugal is an experienced team and their stars Christiano Ronaldo alongside other key players such as Pepe , Bruno Alves and Fábio Coentrão .
Tuesday, June 10, 2014
TOP 10 COUNTRIES MOSTLY TO WIN THE 2014 FIFA WORLD CUP
Portugal is an experienced team and their stars Christiano Ronaldo alongside other key players such as Pepe , Bruno Alves and Fábio Coentrão .
VIJANA WATWANGANA KWA AJILI YA KUGOMBEA RIZIKI.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
KITAIFA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
'UNYAMA' BINTI ATOA SIRI NZITO. Soma hapa kujua zaidi
NYUMAya pazia! Yule msichana Yusta Lucas (20) mwenyeji wa Mkoa wa Tabora ambaye alifika jijini Dar kufanya kazi ya u-hausigeli na kufanyiwa ukatili wa kutisha na bosi wake kisha habari zake kuandikwa, ametoa siri nzito, Uwazi limemegewa.
EBU CHEKA KIDOGO TUUU.!!!!!!!!!!!!
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
MICHEZO,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
SHEKH MOHAMED IDRIS AFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA RISASI NCHINI KENYA
Muhubiri wa kiisilamu ameuawa mjini mombasa pwani ya Kenya , ikiwa ni mauaji ya hivi karibuni ya kiongozi mwingine wa kidini.
Sheikh
Mohammed Idris, ambaye ni mwenyekiti wa baraza la maimamu na wahubiri
nchini Kenya, aliuawa karibu na msikiti ulio karibu na nyumba yake na
watu wasiojulikana.
Duru
zinasema kwa alikuwa amepokea vitisho kutoka kwa vijana wenye itikadi
kali za kidini na tayari alikuwa ameelezea hofu juu ya maisha yake.
CHUI WAVAMIA MOSHI VIJIJIN
WAKAZI wa kijiji cha Okeseni Chini, Wilaya ya Moshi Vijijini, mkoani
Kilimanjaro, wanalala mapema wakihofia kushambuliwa na kundi la wanyama
aina ya Chui lililovamia kijiji hicho.
Akizungumza kwa njia ya simu jana, mmoja wa wakazi
hao, Pamfill Shayo, alisema hivi sasa wanakijiji hao wanaingia ndani saa
12 jioni na kulala wakiogopa kushambuliwa na chui hao ambao tayari
wameshaua mifugo ipatayo 25.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
KITAIFA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
DAR ES SALAAM NDO MJI MASHUHURI TANZANIA
WAKATI Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, unapanga kuongeza nauli za daladala kwa wakazi wa Dar es Salaam ili kukabiliana na tatizo sugu la foleni, taarifa ya matumizi ya kaya binafsi Tanzania Bara, zimeonesha kuwa Mkoa wa Dar es Salaam, ndio mahali ghali zaidi nchini.
Gazeti
hili lilichapisha kwa mara ya kwanza habari kuwa Dart awamu ya kwanza
ikianza, nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam
kwenda na kurudi vituo vikubwa vikiwemo vya Kariakoo, Posta na Kimara,
itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400 ya sasa mpaka Sh 700 na 800 kwa
ruti moja.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
KITAIFA,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
RAIS KIKWETE AHANI MISIBA YA KANALI MSTAAFU ALI MWANAKATWE, MCHEKESHAJI SAIDI NGAMBA “MZEE SMALL” JIJINI DAR
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
MICHEZO,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
Monday, June 9, 2014
WAANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI MBAYA WAKIKWEPA TEMBO
Ajali mbaya imetokea juzi usiku katika moja ya maeneo mto
Rubana wilayani Bunda kuingia mbuga ya Serengeti ikihusisha watu wanne baadhi
yao wakiwa ni waandishi wa Habari.
Napata fursa yakufanya mahojiano na mmoja wa majeruhi katika
ajali hiyo Fredrick Katulanda mwandishi wa habari wa gazeti la Mtanzania ambaye
alisema kuwa ajali hiyo ilitokana na kumkwepa tembo aliyejitokeza ghafla
akivuka barabara
CCM NA CHADEMA WATAMBIANA.

VITA ni vita! Siku mbili zimekatika tangu sakata la picha ya pozi
inayodaiwa kuwa ni ya mheshimiwa Komba na msichana aliyetajwa kwa jina
moja la Angel kutoka kwenye baadhi ya vyombo vya habari Bongo, lingine
limeibuka!
Hili la safari hii ni zito pia. Lenyewe linamhusu mheshimiwa mmoja
ambaye anadaiwa ni mbunge wa Chadema. Na yeye anasemekana kwamba alipiga
picha katika pozi tata na ‘totoz’ ambaye jina lake halikupatikana.
Sunday, June 8, 2014
HAPPY BIRTH DAY FRANK!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Hapa B-Boy akijiandaa kukata keki
B-Boy akiwa na mpenzi wake kipenzi katika sherehe yake ya kuzaliwa upya
Bofya Hapa kupata picha nyingi zaidi.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
Marehemu Mzee Small na Mtoto wake jana....!
TAZAMA PICHA ZA REDCARPET ZA MTV AWARDS, 2014
Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV
zinazoendelea usiku huu mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza
designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi
saa na bangili za mkono. NI SUPERB!…
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
NAPE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA SAUTI MWANZA.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokelewa na umati wa watu
kwenye eneo la mkutano Nyamalango ambapo atahutubia wanachama wa CCM
Tawi la SAUT pamoja na wakazi wa maeneo hayo , pamoja na kuhutubia pia
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi atawapokea wanachama zaidi ya 30
wanaotoka Upinzani na kujiunga na CCM
Subscribe to:
Posts (Atom)