Sunday, June 8, 2014

Marehemu Mzee Small na Mtoto wake jana....!

 

Pichani ni mzee small akiwa na mtoto wake kipenzi mahamood usiku wa kuamkia jana, mtoto huyo anasema alimuaga baada ya chakula cha usiku kwamba anakwenda kulaa ilipofika asubuhi ya kuamkia jana hakuweza kuongea tena mpaka mauti yalipomfika majira ya Saa4 usiku. Picha na Awadh Ibrahim KwanzaJamii/Mjengwablog akiwa nyumbani kwa marehem

No comments:

Post a Comment