Saturday, July 5, 2014

JK ALIVYOTEMBELEA MAONYESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA .

Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye viwanja vya Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayofanyika kila mwaka kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam wakati alipotembelea na kukagua mabanda ya makampuni mbalimbali yanayoshiriki kwenye maonyesho hayo

PICHA ZA KISIKITISHA ZA SHEIKH ALIYE PIGWA RISASI 'ARUSHA;!!!!!!!!!.

Sheikh wa Msikiti wa Qiblatan, Sood Ally Sood (37), uliopo Kilombero jijini Arusha amelipuliwa na bomu la kurusha kwa mkono akiwa nyumbani kwake wakati wakila daku hapa akiwa amelazwa katika Hospitali ya Mt. Meru, alijeruhiwa miguuni na mapajani.

Friday, July 4, 2014

POR; ANNA TIBAIJUKA AISIFU KAZI INAYO FANYWA NA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)

Waziri wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Prof. Anna Tibaijuka akipokewa na Felic Maagi Mkurugenzi wa Fedha wa NHC wakati alipowasili kwenye Banda la Shirika hilo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam leo.