Saturday, May 31, 2014

WALIMU WA KIKE RUANGWA, LINDI WAOGOPA KUTOA ADHABU KWA WANAFUNZI WA KIKE

Ruangwa, Lindi
Walimu wa kike wa shule za msingi wilayani Ruangwa mkoani Lindi, wanaogopa kutoa adhabu kwa wanafunzi wa kike kutokana na wanafunzi hao kuwachukulia waume zao kama kulipiza kisasi kwa adhabu wanayopewa na walimu wao.

Kadhalika walimu wa kiume wanaogopa kutoa adhabu kwa wanafunzi wakiume kwa hofu ya kuchomewa nyumba zao moto.

MOROGORO YAAGA MWILI WA MAREHEMU "GEOGRE TYSON" NA KUELEKEA DAR.


Msanii wa Bongo Fleva AY akiwa amewasili na crew yake nzima kuja kumpa pole Mbonie Masimba, AY alitoa laki 6 kununua jeneza la marehemu Tyson hii ikiwa kama mchango wake kwa kuthamini kile alichomfania wakati akiwa hai. Sasa msafara unaelekea Bongo na mwili utafikia Hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni na naambiwa msiba uko upo Bahari Beach nyumbani kwa marehemu.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA BABA YAKE ROSTAM AZIZI JIJINI DAR LEO.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rostam Azizi, wakati alipofika nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, leo Mei 31, 2014 kwa ajili ya kumpa pole kwa kufiwa na Baba yake mzazi aliyefariki katikati ya wiki hii.

TIZAMA VIWANJA AMBAVYO VITACHEZEWA KOMBE LA DUNIA BRAZIL-2014

1.   Estadio do Maracana
Capacity: 73 531
City (location): Rio de Janeiro

NIPO TAYARI KUSHIKA NAFASI YA SGNA.

Mnyika kumburuza Maghembe kortini.

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, anakusudia kumshitaki Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, kwa madai ya kumnyima nyaraka zinazohusiana na miradi ya maji katika Mkoa wa Dar es Salaam.

AJALI MBAYA HATOKEA MKOANI TABARA, IKIHUSISHA GARI DOGO NA TRENI.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
                     BREAKING NEWS                                                          
Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugonga Treni eneo la kaloleni
Gari ikiwa imeharibika vibaya sana baada ya kugonga Treni

MCHAWI AHUKUMIWA MIAKA 3 JELA.

140530080839 tanzania mganga 512x288 bbc nocredit 05e53

Mchawi kutoka Tanzania amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu nchini Kenya kwa kumlaghai mwanamke mfanyabiashara mkenya na kumuibia shilingi milioni tisa.
Mchawi huyo alimhadaa mama huyo kuwa kwa kupitia njia za kichawi angeweza kuzifanya pesa hizo kuwa maradufu yaani milioni 18.

VIJANA WAVAMIA MSIKITI.

140529191101 car bangui 512x288  nocredit fdd9e

Kikundi cha vijana wakristo katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati, wameharibu msikiti na kuweka vizuizi barabarani kwa kutumia magurudumu ya moto mjini Bangui.
Shambulizi hili limekuja siku moja baada ya wapiganaji wa Seleka, kushambulia kanisa kwa kutumia maguruneti na risasi , huku watu kadhaa wakiuawa

Samuel Eto’o wants to join Arsenal.

Chelsea and Cameroon striker Samuel Eto’o is reportedly eyeing Arsenal transfer this summer as he seeks to prove Chelsea boss Jose Mourinho wrong.

Arsene Wenger aongezwa muda wa kuiongoza tena Arsenal.

140518180214 wenger512 6960a

Arsene Wenger ametia saini mkataba wa miaka miwili kama meneja wa klabu hiyo hadi mwaka 2017.
Wenger, 64, ameongoza Arsenal na kufanikisha ushindi wa mataji 8 tangu kujiunga na klabu hiyo Septemba mwaka 1996.
Msimu huu aliweza kuongoza timu hiyo hadi kufuzu kwa mara ya 17 kwa kombe la klabu bingwa ulaya na kupata ushindi aliosubiri kwa hamu kwa miaka tisa dhidi ya Hull City katika fainali ya kombe la FA Cup.
Wenger alikuwa anafika ukingoni mwa mkataba wake mwaka huu
Arsenal ilikuwa haijawahi kushinda taji la nyumbani tangu mwaka 2005 ingawa walifika fainali ya kombe la mabingwa wa Ulaya mwaka 2006.

Rekodi ya Wenger
Ligi ya Premier:1998, 2002, 2004
Kombe la FA:1998, 2002, 2003, 2005, 2014
Kombe la Community Shield:1998, 1999, 2002, 2004
Kombe ya ligi ya klabu bingwa nafasi ya 2: 2006
Nafasi ya pili kombe la Uefa Cup:2000
Nafasi ya pili Kombe la League:2007, 2011
Wenger, ambaye sasa ni meneja mkongwe zaidi katika ligi ya Ulaya baada ya Sir Alex Ferguson kustaafu, mwezi Mei mwaka 2013, anasifika kwa kuleta mawazo mapya kuhusu michezo na lishe bora katika soka Uingereza.
''Huyu ndiye mtu anayefanya kazi mwa saa 24 kila siku,'' alisema mlinda lango wa zamani wa Arsenal Bob Wilson.
"anachukia sana kushindwa. Alileta mageuzi makubwa, katika kila sekta ya mchezo huo nchini Uingereza. Watu wanadhani kuwa ana mamlaka sana lakini mtu ambaye anajitolea sana kwa mchezo huu ni mtu anayethaminiwa sana.''
Ushindi mkubwa wa Wenger ulikuwa wakati ambapo alishinda kombe la ligi ya Premier kati ya mwaka 2003-04 alipokuwa na wachezaji kama vile Thierry Henry na Patrick Vieira.
Wenger alimsajili Mesut Ozil kwa kima cha dola milioni 42.4 kwa msimu ambao umekamilika.
Lakini licha ya hali ya suitofahamu kuhusu mustakabali wa Wenger mwezi Januari, mkurugenzi mkuu wa Arsenal, Ivan Gazidis, alitabiri kuwa Wenger huenda akaongezewa muda Arsenal.
CHANZO BBC

MWANAFUNZI WA TUMAINI- IRINGA ASHINDA TV YA COCA-COLA.

MSHINDI_7_19eee.jpg
MSHINDI_8_b230b.jpg
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Iringa, Vincent Lugendo (katikati) akifurahia Tv.

KLABU YA YANGA YAZIDUA RASMI KADI MPYA ZA WANACHAMA.

Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga SC Bw Clement Sanga (kushoto) akipokea hati ya makubaliano kutoka kwa Mkurugenzi wa TPB Bw Sabasaba Moshingi (kulia) katikati ni Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Bw Juma Nkamia wakati wa Uzinduzi wa Kadi Mpya za ATM za Wanachama

WATUHUMIWA WA MLIPUKO WA MABOMU JIJINI ARUSHA WAPANDISHWA KIZIMBANI

Watuhumiwa wakiwa kwenye gari ya Polisi.
WATU 17 wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu Mkazi jijini

BREAKING NEWS: GEORGE TYSON WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI AKITOKEA MORO KWENDA DAR.


                                           George Tyson.
 ni Muongozaji wa Filamu Nchini Tanzania George Tyson Mwenye Asili ya Kenya anaye fanyia shughuli zake nchini Tanzania amejizolea Umaarufu Mkubwa nchini Tanzania kwa Kuongoza baadhi ya Filamu za Kitanzania na hizo Filamu ya kwanza ni Girl Friend na Dilema, Jamaa ana mtindo wa kipekee kwenye Filamu ambazo yeye anongoza mara nyingi huweka watu wazito kivipi. yaani yeye hufanya kazi na wasanii wa Bongo Flava au Wabunge au Watangazaji hapo tu ndo amekuwa tofauti na waongozaji wengine wa Filamu.

BUNGENI KWAWAKO "MOTO"

WABUNGE wa Kambi Rasmi ya Upinzani wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge
WABUNGE wa Kambi Rasmi ya Upinzani, jana walitoka nje ya ukumbi wa Bunge, kususia uhitimishaji wa mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini.

Wednesday, May 28, 2014

WANACHAMA WA SIMBA WAANDAMANA NA KUFUNGA NJIA ZA MSIMBAZI WAKITAKA WAMBURA ARUDISHWE KWENYE ORODHA YA WAGOMBEA.

           







                             
 Mashabiki wa Timu ya simba wakijikusanya nje ya jengo la klabu hiyo kongwe kupinga wambura kuondolewa kwenye uchaguzi unakuja hivi karibuni

WANACHAMA WA SIMBA WAANDAMANA NA KUFUNGA NJIA ZA MSIMBAZI WAKITAKA WAMBURA ARUDISHWE KWENYE ORODHA YA WAGOMBEA.

           







                             
 Mashabiki wa Timu ya simba wakijikusanya nje ya jengo la klabu hiyo kongwe kupinga wambura kuondolewa kwenye uchaguzi unakuja hivi karibuni

WANACHAMA WA SIMBA WAANDAMANA NA KUFUNGA NJIA ZA MSIMBAZI WAKITAKA WAMBURA ARUDISHWE KWENYE ORODHA YA WAGOMBEA.

           







                             
 Mashabiki wa Timu ya simba wakijikusanya nje ya jengo la klabu hiyo kongwe kupinga wambura kuondolewa kwenye uchaguzi unakuja hivi karibuni