
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Rostam Azizi, wakati alipofika nyumbani kwake Oysterbay
jijini Dar es Salaam, leo Mei 31, 2014 kwa ajili ya kumpa pole kwa
kufiwa na Baba yake mzazi aliyefariki katikati ya wiki hii.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) akijumuika na waombolezaji waliofika nyumbani
kwa Rostam Azizi, Oysterbay jijini Dar es Salaam, leo Mei 31, 2014 kwa
ajili ya kumpa pole kwa kufiwa na Baba yake mzazi aliyefariki katikati
ya wiki hii.
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, akitoa mawaidha wakati wa
dua maalum iliyofanyika nyumbani kwa Rostam Azizi Oysterbay kumuombea
Baba mzazi wa Rostam, aliyefariki katikati ya wiki hii.
Baadhi ya waombolezaji walioshiriki dua hiyo maalum nyumbani kwa Rostam Azizi
No comments:
Post a Comment