- Alikuwa amelazwa hapo tangu mwezi Julai, 2014 (mwezi uliopita)
Monday, August 18, 2014
JUDGE LEWIS MAKAME AFARIKI DUNIA.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Lewis
Makame amefariki Dunia katika Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki -
Dar
PALE AMBAPO MBWA ANAKUA NA THAMANI KULIKO MTOTO, KATIKA BARA YA ULAYA.

THAMANI YA MBWA MBELE YA MTOTO WA BINADAMU HUKO DUNIA YA KWANZA ILIVYO, SIO JAMBO LA KUIGA HILO HATA PUNJE
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA MICHEZO,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
MAULIDI ITENGE AONDOKA RADIO ONE
Maulid Kitenge.
MTANGAZAJI
wa michezo wa Radio One Stereo, Maulid Kitenge kupitia akaunti yake ya
Twitter hivi punde ametangaza kuondoka rasmi katika radio hiyo baada ya
kuitumikia kwa miaka 14. Kupitia Twitter, Kitenge ameandika hivi:
MTEMVU AZIDI KUFANYA MAMBO MAKUBWA TEMEKE
Mtemvu akionyesha chupa ya chai ambayo ni miongoni mwa seti za vifaa vya nyumbani alivyozawadia wananchi katika hafla hiyo.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
KIMATAIFA MICHEZO,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
Sunday, August 17, 2014
Mwanafunzi wa Tanzania Aibuka mshindi wa Kwanza Tuzo ya Isha SADC
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Neema
Steven Mtwanga(16) anayesoma katika shule ya sekondari Naboti
Makambako,Njombe baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika utunzi wa
insha katika shindano lililoandaliwa na Jumuiya ya uchumi ya maendeleo
kusini mwa Afrika(SADC).Rais Kikwete alimpongeza mwanafunzi huyo wakati
wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC
unaofanyika katika mji wa kitalii wa Victoria Falls, nchini Zimbabwe
ambapo mwanafunzi huyo aliandika insha inayohusu mabadiliko ya tabia
nchi.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
KIMATAIFA MICHEZO,
KITAIFA,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
WAZEE WA DAR ES SALAAM WAWATAKA UKAWA KURUDI BUNGENI
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA 34 WA SADC VICTORIA FALLS

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua kutoka kwa watoto jana muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe ambapo alishiriki katika mkutano wa 34 wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe.
MTOTO WA MACHO AFARIKI DUNIA
Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3) enzi za uhai wake akiwa na bibi yake, Elda Charles Rweyemamu.
Na Makongoro Oging'MTOTO Godwin Florence Rweyemamu (3), mkazi wa Kijiji cha Kamala, Kata ya Bangwe mkoani Kigoma aliyeletwa katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam kwa matibabu ya kansa ya macho amefariki dunia leo asubuhi.
Mtoto Godwin amefariki baada ya kusumbuliwa na kansa ya macho iliyoambatana na malaria na upungufu wa damu mwilini.
WAYNE ROONEY AKARIBIA KUFIKIA MAFANIKIO YA KUJENGEWA SANAMU, AMEDAI BEKI WA ZAMANI WA MAN UNITED PHIL NEVILLE
Sanamu: Phil Neville amsema Wayne Rooney anaweza kufanikiwa kujengewa sanamu kama ataendelea kufanya makubwa.
PHIL Neville amedai kuwa Wayne Rooney
anaweza kuwa gwiji wa Manchester United na hata kupata heshima ya
kujengewa sanamu katika klabu hiyo.
Beki huyo wa zamani wa United aliyasema
hayo wakati anazungumzia nahodha mpya wa klabu na alidai kama mchezaji
huyo wa zamani wa Everton anataka, anaweza kuingia katika orodha ya
wachezaji wakubwa zaidi waliowahi kutokea katika historia ya klabu.
MANCHESTER CITY WAANZA LIGI KUU ENGLAND VIZURI KWA KUIFUMUA 2-0 NEWCASTLE UNITED
Mnyumbulikaji wa Kihispania: David Silva akifunga bao la kuongoza
MABINGWA watetezi wa ligi kuu soka nchini England, Manchester City
wameanza vyema kampeni za kutetea taji lao baada ya kuibuka na ushindi
wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Newcastle United katika dimba la St. James Park.
Bao la kwanza la Man City
katika mechi hiyo iliyomalizika dakika chache zilizopita limefungwa na
kiungo mshambuliaji, raia wa Hispania, David Silva katika dakika ya 39'
akimalizia vizuri pasi ya Edin Dzeko.
Subscribe to:
Posts (Atom)