Saturday, May 24, 2014
MAPENZI NA WANYAMA YANAPO ZIDI.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
MAPENZI NA WANYAMA YANAPO ZIDI.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
Idadi ya Wanawake wanaoendesha Ndege, Treni, Malori na Mabasi Tanzania imetajwa na Wizara ya uchukuzi
Ni mara chache sana tunapata takwimu kama hizi kutoka kwenye ngazi ya juu ya serikali ya Tanzania
ndio maana hii stori imekua kubwa baada ya kutolewa na Waziri wa uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe bungeni Dodoma May 24 2014.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
Full time ya Real Madrid vs Atletico Madrid May 24 2014.
Kwenye dakika ya 90 + 3 mpira ukikaribia kuisha Ramos aliifufua furaha ya mamilioni baada ya kuipatia Real Madrid goli la kusawazisha na kufanya hii mechi ipewe Extra time ambako Real waliongeza mengine matatu Bale akilianzisha kisha Marcelo na Cristiano Ronaldo.
Kabla ya mechi hii kuanza hizi hapa chini ndio zilikua takwimu makocha wa timu hizi mbili kwa mujibu wa Super Sport.
Friday, May 23, 2014
MTOTO AISHI KWENYE BOX KWA MUDA WA MIAKA MINNE.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
MSAADA: AJIFUNGUA WATOTO WANNE AOMBA MSAADA
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
MICHEZO.,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
WAZIRI AJIUA BAADA YA KUSHINDWA UCHAGUZI.
Kabla ya kujiua, aliacha ujumbe kwamba amechukua hatua hiyo baada ya kutokea migongano ya kisiasa.
Wakati
Rais wa Malawi, Joyce Banda akizidi kuelemewa kwenye uchaguzi
uliofanyika Jumanne wiki hii, Naibu Waziri wa Serikali za Mitaa, Godfrey
Kamanya amejiua baada ya kubaini ameshindwa kutetea kiti chake cha
ubunge.
Kamanya alijipiga risasi nyumbani kwake mjini Lilongwe saa 9:30 asubuhi baada ya kupewa taarifa hizo kwa ujumbe mfupi wa simu.
Kabla ya kujiua, aliacha ujumbe kwamba amechukua hatua hiyo baada ya kutokea migongano ya kisiasa.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
GERMAN KATANGA, AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 12 JELA.
Kiongozi wa zamani wa wapiganaji waasi DRC Germain Katanga
Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC
imemhukumu kiongozi wa zamanai wa wanamgambo waasi katika Jamuhuri ya
kidemokrasi ya Kongo, Germain Katanga, kifungo cha miaka kumi na miwili
jela baada ya kumpata na hatia ya uhalifu wa kivita.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA MICHEZO,
KITAIFA,
SIASA
Wananchi wamlipua Lissu kwa Kinana.
Wananchi wa Jimbo la Singida Mashariki, wamemuomba Katibu Mkuu wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, awasaidie kutatua kero
zinazowakabili za barabara, elimu na afya.
Wananchi hao wamedai hatua ya kumuomba Kinana awasaidie inatokana na Mbunge wao, Tundu Lissu (Chadema), kuwakataza kuchangia miradi ya maendeleo hali iliyosababisha miradi ya ujenzi wa shule na zahanati kusimama kwa kipindi cha miaka minne.

JE? WAFAHAMU SIFA ZA MWANAMKE WA KUOA. BASI HIZI HAPA........
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na
kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi
kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao wanadhani kwamba wanaweza kuwa
pamoja kwa kipindi chote cha maisha.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe.Samweli Sitta
akijibu hoja za wabunge kabla Bunge halijapitisha Bajeti ya Wizara ya
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa Mwaka 2014/2015.
Maofisa wa wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki wakiwa pamoja
na Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakifuatilia kikao cha Bajeti ya
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa
Mwaka 2014/2015.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe.Samweli Sitta
akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya
Mashariki,Joyce Mapunjo mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara
hiyo kwa Mwaka 2014/2015.
Wabunge wa Afrika Mashariki wakiwasili Bungeni Mjini Dodoma.
Mbunge wa kuteuliwa Mhe.James Mbatia akifurahia jambo na Mhe.Shyrose Banji Mbunge wa Afrika Bunge la Afrika ya Mashariki.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki,Joyce
Mapunjo (kulia) akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano,Mhe.Samia Suluhu (kushoto) na Mhe.Celina Kombani.
Mbunge wa Chalinze,Mhe.Ridhiwani Kikwete (kushoto) akijadiliana jambo
na Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki,Mhe. Shyrose Banji
Wanachuo kutoka Chuo cha Mipango Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja
nje ya viwanja vya Bunge wakati walipofanya ziara ya kimafunzo Bungeni
na kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa
Mwaka 2014/2015.
Wanachuo kutoka Chuo cha Uuguzi Mirembe Dodoma wakiwa kwenye picha ya
pamoja nje ya viwanja vya Bunge wakati waliofanya ziara ya kimafunzo
Bungeni na kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya
Mashariki kwa Mwaka 2014/2015 .
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe.Samweli Sitta na
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki ,Joyce
Mapunjo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Maofisa wa wizara yake pamoja
na Wabunge wa Afrika ya Mashariki mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti
ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa Mwaka 2014/2015.
Picha na Deusdedit Moshi
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
MICHEZO.,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
BIBI MWENYE UMRI WA MIAKA 60 ANASWA NA 'UNGA' WA WADAWA YA KULEVYA UWANJA WA NDEGE DAR.
Huyu ni mzee, lakini tumeshangaa kuona bado ana nguvu za kutosha na
tulishangaa baada ya kutoa kete 20 kwa mara moja katika awamu ya kwanza,
jambo hili si rahisi kutokana na umri wake,”.PICHA|MAKTABA
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
KITAIFA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
KAKA WA MTOTO ALIYE FUNGIWA KWENYE BOSKI, NAE AMEPOTEA.
Rashid Mvungi akimuangalia mtoto wake Nasrah Rashid (4) ambaye ni
mlemavu wa viungo aliyefungiwa chumbani na kufichwa kwenye boksi bila ya
kufanyiwa usafi tangu akiwa na umri wa miezi tisa. Picha na Hamida
Shariff
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
KIMATAIFA MICHEZO,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
Tuesday, May 20, 2014
DENGUE YAZUA KIZAAZAA UBUNGO, ABIRIA WAKWAMA MASAA MAWILI.
Abiria waliokuwa wakisafiri kuelekea mikoa mbalimbali na nchi jirani kupitia kituo kikuu cha mabasi Ubungo, jijini Dar Es Salaam leo asubuhi wamejikuta katika
EBU TAZAMA PICHA HIZI KISHA JIULIZE , HAWA WALIKUA WANAWAZA NINI KUFANYA HIVI!!!!!!!!!!
24
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
MICHEZO.,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
TAZAMA , MAMBO YENYE THAMANI KATIKA MAPENZI.
KUNA watu ambao huwa wanaumiza kichwa kuhusu mambo ya kuwafanyia wenzi wao ambayo yana thamani kubwa. Kwa bahati mbaya sana ni kwamba wengi huwaza kuhusu fedha na mali.
Rafiki zangu, yapo mambo ambayo yanaweza kuonekana ya kawaida tu au si ya lazima sana lakini kumbe yana uzito na thamani kubwa sana kwenye uhusiano.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA MICHEZO,
KITAIFA,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
WATU 60 ,WAHOFIWA KUUGUA UGONJWA WA HOMA YA DENGUE.
Afisa uhusiano wa Manispaa ya Temeke,Joyce Msumba
Zaidi ya wagonjwa 60 kutoka wilaya za mkoa wa Lindi wanahofiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa dengue.
Kutokana na hali hiyo, wanatarajiwa kuchuliwa vipimo na kufanyiwa uchunguzi kwenye maabara ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na hospitali ya mkoa huo kukosa vifaa vya kutambua ugonjwa huo.
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Dk. Theophil Malibiche, alisema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.Dk. Malibiche watachukua wagonjwa wanaoonyesha dalili za dengue.
Alisema hadi sasa hakuna mtu aliyebainika kuwa na homa hiyo wala aliyefariki na kwamba mkoa umejipanga kutoa mafunzo kwa wataalamu wa afya katika wilaya zote za mkoa huo.
Aliwaomba wananchi mkoani humo kuchukua tahadhari ya ugonjwa huo kwa kufanya usafi wa mazingira na kuangamiza maeneo ya mazalia ya mbu wakati utaratibu wa kupata madawa za chanjo na kinga ukisubiriwa.
Wakati huo huo, idadi ya wagonjwa waliogundulika na ugonjwa huo katika Hospitali ya Amana, jijini Dar es Salaam, sasa imefikia 79 tangu ugonjwa huo uibuke.
Akizungumza na NIPASHE, Daktari Kiongozi wa Hospitali hiyo, Andrew Method, alisema kati ya wagonjwa hao 73 waliruhusiwa na sita bado wamelazwa.
Aidha, Dk. Method alisema katika hospitali hiyo hakuna kifo kilichotokana na ugonjwa huo.
Katika Hospitali ya Temeke idadi ya wagonjwa ambao wameugua ugonjwa huo tangu kuibuka mwaka huu ni 72 na kati ya hao, 62 wameruhusiwa.
Afisa uhusiano wa Manispaa ya Temeke, Joyce Msumba, alisema wagonjwa 10 bado wamelazwa na kuwa kati ya hao, sita ni wanawake na wanne ni wanaume.
Msumba alisema pia hospitali hiyo inachukua tahadhari ya kuendelea kupuliza dawa na wagonjwa kulazwa ndani ya vyandarua kwa ajili ya kuzuia kuambukiza wengine.
Katika Hospitali ya Mwananyamala, idadi ya wagonjwa mpaka imefikia 144, wapya ni wanne na mmoja ndiye amelazwa, kwa mujibu wa Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk. Faustinias Ngonyani.
Katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, hadi jana hapakuwapo na mgonjwa wa dengue.
Imeandikwa na Elizabeth Zaya, Jimmy Mfuru, Hussein Ndubikile, Dar na Hamisi Abdelehemani, Lindi.

CHANZO: NIPASHE
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
UKATILI, MAMA AMLIPUWA MTOTO WAKE KWA MOTO DAR. MWENYE UMRI WA MIAKA 13 TU.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
MWILI WA ADAM KUAMBIANA UNAENDELEA KUAGWA LEADERS CLUB . DAR
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
MICHEZO.,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
ZOEZI LA KUMSAKA CHATU JIJINI MBEYA HATIMAYE LIMEANZA.
SIKU chache baada ya wakazi wa Jiji la Mbeya kupewa tahadhari juu
ya uwepo wa nyoka mkubwa aina ya Chatu katika maeneo ya Rift Valley
pembezoni mwa mto Meta uliopo jijini hapa juhudi za kumsaka zaanza kuzaa
matunda.
Juhudi
za kumsaka Chatu huyo zilianza juzi kwa ushirikiano wa Wataalamu wa
Wanyamapori pamoja na waganga wa jadi ambao walikuwa wakimsaka pembezoni
mwa mtu huo.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
KITAIFA,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
ZAHANATI YA ITIMBA YAPONGEZWA KWA KUTOA HUDUMA BORA AMBAYO IPO MANISPAA YA IRINGA.
Zahanati ya Itamba iliyopo Manispaa ya Iringa
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
WIZARA YA ELIMU YAZIDI KUFANYA MADUDU.
WABUNGE
wamesema hali ya elimu nchini ni mbaya na kumshauri Rais Jakaya Kikwete,
kuunda Tume ya Kudumu ya Elimu ili kuangalia ubora na kudhibiti sekta
hiyo muhimu.
Katika
michango yao kwenye mjadala wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
uliotarajiwa kuhitimishwa jana jioni, wabunge wamesema suala la elimu
halina siasa, na nchi isipochukua hatua sasa, itakuwa hatari kwa vizazi
vijavyo.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
MICHEZO,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
ULEVI NOMAAA!!!!!!!!!!
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
Monday, May 19, 2014
NYUKI WA MASHINENI!!!!!!!
Kuna nyuki wa kwenye mashine za kusaga na kukoboa. Ukiwaona ni nyuki lakini si kama wale uliowazoea. Nyuki wa mashineni hana madhara, unaweza kumkamata kwa mikono. Na wala, haenezi homa ya dengue ukashindwa kutembea kwa kudengua.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
JK, KUONGAZA MASHAURIANO YA MRADI WA MABASI.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
Meneja wa EWURA akutwa amekufa hotelini!
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
JE? UNAZIJUA SIFA ZA KOCHA MPYA WA MAN U, TAZAMA HAPA KUZIPATA
Louis Van Gaal ambaye alizaliwa miaka 62 iliyopita nchini Uholanzi anakuwa kocha wa kwanza kabisa kutoka nje ya Uingereza na visiwa vyake kuifundisha klabu ya Manchester United.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
MTOTO ALIYEIBIWA APATIKANA NA KUKABIDHIWA KWA WAZAZI WAKE.
Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Ahmed Msangi akimkabidhi mtoto Yosia Jerome kwa mama yake Orester Shabani |
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
WAKAZI WA JIJI LA DAR WAUNGANA NA MKUU WA MKOA, NA MEYA WA KINONDONI KUFANYA USAFI MTO MLALAKUWA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki akiungana na Meya wa
Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda walipoungana na wananchi kufanya
usafi katika mto wa Mlalakuwa jijini Dar es Salaam ili kuepukana na
ugonjwa uliozuka wa Dengue ambao umekuwa tishio wakati akizindua zoezi
la kufanya usafi jijini lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU,
AFYA YETU’
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
Subscribe to:
Posts (Atom)