Friday, July 11, 2014
DAKTARI MWINGINE FEKI ANASWA HOSPITALI YA RUFAA MORO
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
KITAIFA,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
VIJANA NDANI YA SUMATRA.
Mbunge wa
Viti Maalum CCM Mkoa wa Iringa Ritta Kabati (wa pili kushoto)
akiwatuliza vijana wanaoendesha bajaji mjini Iringa nje ya ofisi za
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi kavu na Majini (SUMATRA) baada ya
mbunge huyo kuongea na Afisa Mfawidhi wa SUMATRA Mkoa wa Iringa, Rahim
Kondo leo mchana, ambapo vijana hao walidai kusumbuliwa na SUMATRA
wanapofanya kazi zao. Hata hivyo afisa wa sumatra alikanusha madai hayo
na kusema kuwa vijana hao hawataki kufuata taratibu zilizowekwa na
mamlaka hiyo. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
Sunday, July 6, 2014
'WIZI' NI MBAYA, KUWA MAKINI EWE KIJANA .EBU MUONE HUYU.!!!!!
Kijana huyo ambaye hajajulikana jina kwa Mara moja akiwa ametundikwa
katika mti baada ya kukamatwa anaiba funguo za magari katika Garage moja
Soweto.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
KITAIFA,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
Subscribe to:
Posts (Atom)