Friday, July 11, 2014

VIJANA NDANI YA SUMATRA.


KABATI.jpg2.jpg3_abd4e.jpg
Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Iringa Ritta Kabati (wa pili kushoto) akiwatuliza vijana wanaoendesha bajaji mjini Iringa nje ya ofisi za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi kavu na Majini (SUMATRA) baada ya mbunge huyo kuongea na Afisa Mfawidhi wa SUMATRA Mkoa wa Iringa, Rahim Kondo leo mchana, ambapo vijana hao walidai kusumbuliwa na SUMATRA wanapofanya kazi zao. Hata hivyo afisa wa sumatra alikanusha madai hayo na kusema kuwa vijana hao hawataki kufuata taratibu zilizowekwa na mamlaka hiyo. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)

KABATI_692e2.jpg
Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Iringa Ritta Kabati (kushoto) akiongea na Mwandishi wa Kwanza Jamii na kuelezea mkasa mzima wa malalamiko ya vijana wa Bodaboda mchana wa leo.
KABATI.jpg2_5eedd.jpg
Mwenyekiti wa Bodaboda mjini iringa, Mwambobe akiongea na KwanzaJamii leo katika ofisi za Ikolo Investment Ltd zilizopo jengo la NSSF Akiba House

No comments:

Post a Comment