Ujenzi
wa barabara ya Mela-Bonga yenye urefu wa KM 88.8 inayojengwa kwa
kiwango cha lami ukiendelea. Mradi huo unajengwa na Mkandarasi wa
Kampuni ya M/s China Railway Seventh Group na unatajiwa kukamilika mwezi
Agosti mwakani.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa,
akishindilia nondo kwenye moja ya ujenzi wa barabara ya Mela-Bonga yenye
urefu wa KM 88.8, inayojengwa kwa kiwango cha lami, alipokuwa akikagua
mradi huo.