Friday, May 9, 2014

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA OFISI YA WAZURI MKUU JANA .


PG4A8575 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali ya  wabunge wakati alipohitimisha hoja  ya Bajeti  ya Ofisi ya Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Mei 9, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

JAMENI, HIZI AJALI MAPALINI? ONA HII TENA.


USIKUBALI KUACHIKA UKIWA KWENYE UCHUMBA!


UJANA una mambo mengi lakini vijana wa zama hizi tumezidisha. Matukio ndani ya uhusiano ni mengi zaidi ya wakati uliopita. Kukutana na wanandoa wanaoachana baada ya miaka miwili tu ni jambo la kawaida siku hizi.

WIKI YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANA, WANAFUNZI,SHULE ZA SERIKALI NA BINAFSI ZAFANYA VIZURI MITIHANI YA TAIFA MWAKA 2013

  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akiongea na wadau mbalimbali wa elimu wa mkoa wa Dar es salaam wakiwemo walimu wa shule za msingi na sekondari,wamiliki wa shule binafsi na wanafunzi wakati wa hafla ya Siku ya Elimu mkoani Dar es salaam leo.Katika hafla hiyo washindi wa mitihani ya taifa kwa mwaka 2013 kutoka shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi wametunukiwa vyeti na zawadi mbalimbali kutokana na ufanisi wao katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

OFISI YA TAKWIMU TAIFA YATOA TAARIFA KUHUSU MFUMUKO WA BEI.

Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya Watu na Makazi Bw. Ephraim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mfumuko wa bei nchini.

MBOWE, CCM YACHAKACHUA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA.

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimehodhi Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza makada wake 160 kati ya wajumbe 201 wa kuteuliwa na Rais.

Kadhalika, kambi hiyo imesema wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) hawatarejea ndani ya Bunge la Katiba na wataendelea na harakati za kudai Katiba mpya nje ya Bunge.

RAISI KIKWETE ALIPO KUTANA NA RAISI WA NIGERIA JIJINI ABUJA.

KINANA AKAGUA DARAJA LA MBUTU.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na mhandisi Makoye Luhya wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa Daraja la mto Mbutu ambalo litasaidia zaidi ya watu 130,000 .Daraja hilo pia litasaidia sana wakulima wa pamba na nikiunganishi cha Tabora naShinyanga.