Friday, May 9, 2014

JAMENI, HIZI AJALI MAPALINI? ONA HII TENA.


Ajali imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam.. gari ni kampuni ya dar express iliyokua ikielekea nairobi.. Abiria wengi wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache 
Credit:Matukio na Vijana

No comments:

Post a Comment