Mkuu wa
Bregedi ya Nyuki ambae ni Makamo Mwenyekiti wa michezo ya Majeshi
Bregedia Jenerali Sharif Sheikh Othman akizungumza na waandishi wa
habari kuhusu michezo ya nane ya Majeshi ya Jumuia ya Afrika Mashariki.
Mkuta huo umefanyika huko Bregedi ya Nyuki Migombani Zanzibar.
Saturday, August 16, 2014
TANZANIA MWENYEJI WA MASHINDANO YA MAJESHI YA AFRIKA MASHARIKI
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
MAN UNITED, YAANZA VIBAYA LIGI KUU BAADA YA KUFUNGWA 2-1 NA SWANSIA CITY


SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA MICHEZO,
MICHEZO,
MICHEZO.
Friday, August 15, 2014
Sitta: Hatuwezi kusitisha mikutano Bunge la Katiba
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel
Sitta akizungumza na wafugaji kutoka mikoa mbalimbali nchini
walipomtembelea ofisini kwake Dodoma jana. Wafugaji hao walipelekwa
bungeni hapo na Mjumbe wa Bunge hilo ambaye pia ni Mbunge wa Maswa
Magharibi, John Shibuda (kushoto). Picha na Emmanuel Herman
Mwenyekiti
wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta amesema mikutano ya Bunge hilo haiwezi
kusitishwa na kwamba itaendelea kwa kuwa idadi ya wajumbe waliopo
inakidhi matakwa ya kisheria kutunga Katiba.
Kadhalika
Sitta amewatuhumu wajumbe wa wanatokana na kundi la Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa) kwamba si wazalendo kutokana na kususia Bunge hilo
tangu Aprili 25, mwaka huu.(Imakulata Ng'elenge)
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA MICHEZO,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL) zatiliana saini kukuza biashara
Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara
wa NHC, David Shambwe akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini hati
ya makubaliano kati ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi
Supermarkets Tanzania Limited (USL), leo mchana, makubaliano hayo
yataziwezesha pande hizo mbili kushirikiana kibiashara ambapo USL
itapewa kipaumbele kwenye kupanga katika miradi ya ujenzi ya majengo ya
Shirika la Nyumba la Taifa popote nchini.
Meneja Mkuu wa Uchumi Supermarkets Tanzania,
Chriss Lenana akifafanua Jambo kwenye tukio hilo la utiani saini
makubaliano baina ya pande hizo mbili, lililofanyika kwenye hoteli ya
Serena Jijini Dar es Salaam leo.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
KITAIFA,
MICHEZO,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
Serikali yasema hakuna Ebola Tanzania
erikali ya Tanzania yathibitisha kutokuwepo kwa ugonjwa huo
Tanzania imesema haina mgonjwa aliyethibitishwa kuwa na ugonjwa wa Ebola.
Kauli hiyo inakuja baada ya kufanyiwa uchunguzi kwa wagonjwa wawili waliotiliwa shaka kuwa na ugonjwa huo.
Waziri wa
Afya wa Tanzania Seif Rashid ameiambia BBC, wagonjwa hao waliohisiwa
kupata maambukizo kutokana na dalili za awali, ni wa kutoka Benin na
Mtanzania, lakini vipimo vimeonesha hawana maambukizo hayo.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
MICHEZO,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
Thursday, August 14, 2014
OFISI YA CHADEMA KATA YA RUAHA JIMBO LA IRINGA MJINI YACHUKULIWA NA CCM BAADA YA CHADEMA KUSHINDWA KULIPA KODI
RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
KIMATAIFA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
Ukawa waombwa kurudi Bungeni
UKAWA waombwa kukubali maoni ya watanzania walio wengi ya kuheshimu pesa za walipa kodi kwa kurudi bungeni na kupingana kwa hoja kwani hoja zao zikiwa za huakika hazitapingwa bali kanuni na taratibu zinazoendesha bunge zitafuatwa badala ya kuendelea kulalamika katika majukwaa ya kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na balozi wa amani Tanzania Risasi Mwaulanga alipokuwa akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa habari maelezo leo jijijni Dar es Salaam.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
WAKAZI WA KIMARA JIJINI DAR ES SALAAM WATISHIA MAISHA YAO ILI KUCHOTA MAFUTA ,BAADA YA LORI KUPINDUKA
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA MICHEZO,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
NMB YAZINDUA TAWI LA NANYUMBU.
NMB katika kuongeza idadi ya matawi yake na kuhakikisha inawafikia
watanzania wengi na kila kona nchini, jana imezindua tawi jipya la
wilaya mpya ya Nanyumbu katika mkoa wa Mtwara.
Kwa sasa NMB imefikisha matawi Zaidi ya 150 na wateja Zaidi ya milioni 2
huku ikijivunia ATM mashine Zaidi ya 500 nchi nzima. Hiyo ni idadi
kubwa kuliko benki yoyote Tanzania.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA MICHEZO,
KITAIFA,
MICHEZO.,
ULIMWENGU
KIJANA COLINS SILVANUS, AKANA KUA HANA UGOMVI NA MLEZI WAKE

Mtoto Colins Silvanus Mzeru mkazi wa Tabata Dar es Salaam,
akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana alipofika na
mamayake mlezi, Nora Mzeru kukanusha tuhuma dhid i ya mamayake huyo kuwa
amemfungia na kumtesa kwa muda mrefu sasa na kushindwa kwenda shule.
Colins amesema mama yake huyo mlezi hana tatizo nae na amekuwa akiishi nae kwa muda mrefu sasa vizuri tangu kufariki kwa mama yake mzazi na yeye kuchukuliwa na baba yake na kupokelewa bna mama yake huyo aliyekuwa akiishi na baba yake na kulelewa vizuri hadi sasa licha ya kuwa baba yake mzazi nae kufariki.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA MICHEZO,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
Wednesday, August 13, 2014
PHIRI AJARAJIWA KUFIKA SIMBA LEO.
Kocha mpya wa Simba, Mzambia Patrick Phiri
Kocha mpya wa Simba, Mzambia Patrick Phiri, anatarajia kuwasili nchini
leo kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuanza kukinoa kikosi cha timu hiyo
kinachojiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
itakayoanza Septemba 20, mwaka huu.
Phiri anakuja nchini kuchukua mikoba ya Mcroatia Zdravko Logarusic ambaye Jumapili wiki hii alitimuliwa na uongozi wa klabu hiyo ya Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Phiri anakuja nchini kuchukua mikoba ya Mcroatia Zdravko Logarusic ambaye Jumapili wiki hii alitimuliwa na uongozi wa klabu hiyo ya Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
KIMATAIFA MICHEZO,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
Sunday, August 10, 2014
UJENZI BARABARA YA MBEYA CHUNYA UNAKWENDA KASI
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
WAPO WALIOFUNGA NA WAPO WALIOSHINDA NJAA MWEZI WA RAMADHANI...
Na Mathias Canal, Kwanza Jamii-Iringa
Kufunga
kunahitaji kujitoa hakika ili kupata thawabu kwa mwenyezi mungu lakini
wapo waliofunga kwa shinikizo la wenza, dini, rafiki, ndugu na hata
jamaa zao wa karibu.
Lengo la kufunga wakati mwingine ni kuondoa na kuzuia tama zote unazokuwa nazo
1.
kufunga ni Amri: (umma wa nabii Musa na Issa, wao walikua wanafunga kila
mwezi siku tatu na siku ya Ashura (inajulikana kama Pass ver au
Pasakha) lakini wanaofunga sasa walipunguziwa siku.
2.
kufunga kunafuta Madhambi (Mizigo). Mungu amesema katika sura#33 aya#35.
Ukijaaliwa pata thawabu, itafute uisome, I have run out of space.
Mke wa mtume (s.a.w) Ummu Salama, alimuuliza Mtume "wamaume mnatajwa kwenye Qurani sisi Je? Siku ile ile saa za Adhuhuri aya hii ikashuka.
Mke wa mtume (s.a.w) Ummu Salama, alimuuliza Mtume "wamaume mnatajwa kwenye Qurani sisi Je? Siku ile ile saa za Adhuhuri aya hii ikashuka.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA MICHEZO,
MICHEZO.,
ULIMWENGU
ARSENAL YA SHINDA 3-0 DHIDI YA MAN CITY NA KUTWAA UBINGWA WA NGAO YA JAMII
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
Arsenal sent out a statement of intent for the season as they impressively dismissed Manchester City in the Community Shield at Wembley.
10 August 2014
Last updated at
16:23 GMT
By Mandeep Sanghera
BBC Sport
Arsenal sent out a statement of intent for the season as they
impressively dismissed Manchester City in the Community Shield at
Wembley.
The FA Cup winners took the lead through Santi
Cazorla's angled shot and added to that when Aaron Ramsey drove in a
strike to finish a counter-attack.
Premier League champions City came close when Stevan Jovetic had a header hit the post and a shot saved.
But Olivier Giroud's dipping 25-yard strike secured Arsenal's win.
JK AKUTANA NA RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA,
KIMATAIFA MICHEZO,
MICHEZO.,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
KAMA MNATAKA MALI MTAIPATA SHAMBANI!!


1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafe maishani.
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafe maishani.
2. Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli,
Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali,
Roho naona yachinwa, kifo kimenikabili,
Semeni niseme nini, kiwafae maishani.
Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali,
Roho naona yachinwa, kifo kimenikabili,
Semeni niseme nini, kiwafae maishani.
Subscribe to:
Posts (Atom)