Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara
wa NHC, David Shambwe akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini hati
ya makubaliano kati ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi
Supermarkets Tanzania Limited (USL), leo mchana, makubaliano hayo
yataziwezesha pande hizo mbili kushirikiana kibiashara ambapo USL
itapewa kipaumbele kwenye kupanga katika miradi ya ujenzi ya majengo ya
Shirika la Nyumba la Taifa popote nchini.
Meneja Mkuu wa Uchumi Supermarkets Tanzania,
Chriss Lenana akifafanua Jambo kwenye tukio hilo la utiani saini
makubaliano baina ya pande hizo mbili, lililofanyika kwenye hoteli ya
Serena Jijini Dar es Salaam leo.
Viongozi
wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania
Limited (USL) wakisikiliza kwa kina maelezo yaliyokuwa yakitolewa kwenye
mkutano huo
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Uchumi, Dk. Jonathan Ciano akizungumza kwenye tukio
hilo la utiani saini makubaliano baina ya pande hizo mbili,
lililofanyika kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam leo mchana.
Baadhi ya watendaji wa Uchumi na NHC wakifuatilia jambo kwenye hafla hiyo.
Baadhi ya watendaji wa NHC wakifuatilia jambo kwenye hafla hiyo.
Viongozi
wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania
Limited (USL) wakisikiliza kwa kina maelezo yaliyokuwa yakitolewa kwenye
mkutano huo
Viongozi
wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania
Limited (USL) wakisikiliza kwa kina maelezo yaliyokuwa yakitolewa kwenye
mkutano huo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akizungumza katika hafla hiyo mchana huu.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akizungumza katika hafla hiyo mchana huu.
Baadhi
ya watendaji wa NHC wakifuatilia jambo kwenye hafla hiyo, Kushoto ni
Susan Omari, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii
wa NHC, Muungano Saguya, Meneja Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa NHC,
Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, David Shambwe, Meneja Mauzo
wa NHC, Tuntufye Mwambusi na Meneja Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu, Bulla
Boma.
Viongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania Limited (USL) wakiwa katika picha ya pamoja.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu katika
picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Uchumi, Dk. Jonathan Ciano.
Watendaji Uchumi
Supermarkets Tanzania Limited (USL) na Shirika la Nyumba la Taifa
wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Uchumi, Dk. Jonathan Ciano.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akiwa
katika picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Uchumi, Dk. Jonathan
Ciano na watendaji wake.
Viongozi
wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Uchumi Supermarkets Tanzania
Limited (USL) wakikata keki kuashiria kuanza kwa ushirikiano endelevu
baina ya NHC na USL
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu
akitiliana saini hati ya makubaliano na Afisa Mtendaji Mkuu wa Uchumi,
Dk. Jonathan Ciano.

wakibadilishana hati ya makubaliano na Afisa Mtendaji Mkuu wa Uchumi,
Dk. Jonathan Ciano
No comments:
Post a Comment