Taasisi
ya MO Dewji Foundation imeweza kuwakumbuka watoto wanaopatiwa matibabu
ya magonjwa ya kansa katika kituo cha Tumaini la Maisha kilichopo ndani
ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es Salaam. Katika
kusheherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ikiwemo kuingia mwaka mpya wa
2017, MO Dewji Foundation imeweza kutembelea watoto wa kituo hicho cha
Tumaini la Maisha na kutoa zawadi kwa watoto hao ili kuwasaidia katika
kipindi wawapo kituoni hapo
Thursday, December 29, 2016
Wednesday, December 28, 2016
NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI AFANYA ZAIARA MANYONI, MKOANI SINGIDA
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo akiangalia kitanda ambacho inatumiwa na akina mama wajawazito wakati wa kujifungua katika Hospitali ya wilaya ya Itigi mkoani singida wakati alipofanya ziara ya kushtukiza. Kulia kwake ni Dkt. Mary Rume Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya Itigi na anayefuatia ni Mkuu wa wilaya Manyoni Geoffrey Mwambe.
BODI YA MIKOPO IMESEMA ITAYAANIKA MAJINA NA PICHA ZA WADAIWA SUGU HADHARANI.
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema kuanzia
mwanzoni mwa Januari mwakani, itaanza kuchapisha majina na picha za
wadaiwa sugu kwenye vyombo vya habari waliohitimu katika vyuo mbalimbali
vya elimu ya juu kuanzia wale wa miaka 10 iliyopita.
AFUMWA AKISHI NA MWANAFUNZI NYUMBANI KWAKE
WANANCHI katika kijiji na kata ya Guta, wilaya ya Bunda mkoani Mara,
wamelalamikia vitendo vinavyofanywa na baadhi ya walimu katika kata
hiyo, kwa kufanya ngono na wanafunzi na kuishi nao kinyumba kama wake
zao.
Hatua hiyo ya kulaani inatokana na hivi karibuni kumkamata mwalimu wa shule ye Msingi Guta, akiishi na mwanafunzi wa shule hiyo kinyumba kama mkewe.
Hatua hiyo ya kulaani inatokana na hivi karibuni kumkamata mwalimu wa shule ye Msingi Guta, akiishi na mwanafunzi wa shule hiyo kinyumba kama mkewe.
YANGA YAIPA PRESHA SIMBA, BAADA YA KUSHINDA 4-0.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KIMATAIFA MICHEZO,
KITAIFA,
ULIMWENGU
MAAMUZI YA RUFAA YA LEMA KUJULIKANA JANUARI 4, 2017
Na Vero Ignatus
Mahakama
kuu kanda ya Arusha imesikiliza maombi ya rufaa yayaliyowasilishwa na
upande wa jamhuri na ule wa mshtakiwa Godbless Lema ambapo pande zote
mbili wamekubaliana kusikilizwa rufaa ya upande wa jamhuri ambapo upande
wa serikali wameiomba mahakama kuwasilisha kwa hati ya maandishi hapo
kesho tarehe 30 Disemba 2016 Polisi Morogoro wawashikilia watuhumiwa 12 Watuhuniwa waliomchoma Mkuki Pius
Jeshi la Polisi mkoa wa morogoro linawashikilia watu kumi na wawili kwa
tuhuma za kumjeruhi na kumchoma mdomomi mkuki uliotokezea shingoni
Augustino Pius mkazi wa kijiji cha Dodoma Isanga wilayani kilosa ambapo
saba kati yao tayari wamekifishwa mahakamani.
Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa morogoro Ulrich Matei amesema kuwa wafugaji jamii ya kimasai wilayani kilosa mkoani morogoro waliwashambulia wakulima kwa silaha za jadi na kuwajeruhi watu sita mara baada ya kukamatwa kwa mifugo ilioyokuwa inaharibu mazao shambani.
Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa morogoro Ulrich Matei amesema kuwa wafugaji jamii ya kimasai wilayani kilosa mkoani morogoro waliwashambulia wakulima kwa silaha za jadi na kuwajeruhi watu sita mara baada ya kukamatwa kwa mifugo ilioyokuwa inaharibu mazao shambani.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
KIMATAIFA MICHEZO,
KITAIFA,
ULIMWENGU
Tuesday, December 27, 2016
MAKUBWA YAIBUKA KWA MTOTO ALIYEFIA HOTELINI HUKU AKIONGELEA SIKU YA CHRIS-MASS.
SAKATA la mtoto wa miaka 12 aliyekufa wakati akiogelea katika bwawa la
hoteli ya kitalii ya Mount Meru mjini hapa, limechukua sura mpya baada
ya kugundulika kuwa bwawa hilo lilijaa damu baada ya kifo chake.
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Charles Mkumbo amethibitisha madai ya mashahidi waliokuwa eneo la tukio, waliodai kuwa bwawa la kuogelea la hoteli hiyo liligeuka kuwa dimbi la damu wakati mwili wa mtoto huyo ukiopolewa kutoka bwawa hilo, siku ya Krismasi.
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Charles Mkumbo amethibitisha madai ya mashahidi waliokuwa eneo la tukio, waliodai kuwa bwawa la kuogelea la hoteli hiyo liligeuka kuwa dimbi la damu wakati mwili wa mtoto huyo ukiopolewa kutoka bwawa hilo, siku ya Krismasi.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
FAIDA ZA TUNDA, CHUNGWA KATIKA MWILI WA BINADAMU.
KUMEKUWA na sababu mbalimbali zinazofanya watu kutokuwa na ngozi
zisizokubalika.Mbali na hali ya hewa pia matumizi ya pombe na sigara
hata matumizi ya cream kali ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu bila
kujua madhara yake kumechangia kwa kiasi kikubwa tatizo hilo.
MTU MMOJA AFARIKI DUNIA NA NYOKA WAKE.
DUNIANI kuna mambo, ndivyo unaweza kusema kutokana na mkazi wa Mtaa wa
Mateka, Manispaa ya Songea, Denis Komba (26) kufa baada ya nyoka wake
aliyekuwa amembeba kwenye mfuko wa jaketi kuuawa na wananchi.
Komba alifariki dunia katika hospitali ya Rufaa Songea mkoa wa Ruvuma (Homso) ambako alilazwa baada ya watu wenye hasira kumuua kwa mawe na fimbo nyoka wake huyo.
Komba alifariki dunia katika hospitali ya Rufaa Songea mkoa wa Ruvuma (Homso) ambako alilazwa baada ya watu wenye hasira kumuua kwa mawe na fimbo nyoka wake huyo.
WALIOFAULU USAILI WA KAZI SERIKALINI WATAKIWA KUOMBA AJIRA UPYA.
Waliofanya usahili
serikalini, wakafaulu lakini kabla ya kupangiwa vituo vya kazi ajira
zikasitishwa; watakiwa kuomba ajira upya.Taarifa ya Sekretarieti ya
Utumishi wa Umma imesema kuwa huo ni utaratibu wa kawaida wa
sekretarieti hiyo
MOTO WATEKETEZA NYUMBA 50 WAMILIKI WAKE WAKILA KRISMASI
MOTO
mkubwa umezuka na kuteketeza nyumba zaidi ya 50 katika kisiwa cha
Kasalazi kilichopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa mkoani
Mwanza.
Tukio hilo lilitokea juzi saa 3:00 usiku, linadaiwa kuwa ni la nne kutokea kisiwani humo katika miaka ya karibuni.
Imeelezwa kuwa moto huo ulizuka na kuteketeza nyumba hizo huku wamiliki wake wakiwa kwenye shamra shamra za Krismasi.
Nyumba
zilizoteketea kwa moto ni zile zilizojengwa kwa kutumia mabanzi ya
miti, mbao na kuezekwa kwa maturubai, nyasi na baadhi kwa bati.Chanzo
cha moto huo bado hakijafahamika.
WALIOFAULU NI LAZIMA WAENDE SEKONDARI .
*Asema atafuatilia ajue kwa nini kuna tozo kwenye maghala ya Serikali
WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitavumilia kuona mamia ya
vijana waliofaulu mitihani ya darasa la saba na kuchaguliwa kuingia
kidato cha kwanza wanabaki nyumbani eti kwa kuwa hakuna madarasa ya
kutosha.
“Serikali
haitaridhika kuona vijana waliofaulu vizuri wanashindwa kwenda kidato
cha kwanza. Halmashauri zilijua tangu mapema ni wanafunzi wanaenda shule
za msingi kwa hiyo inataka kuona wote waliofaulu wanakwenda sekondari
kwa asilimia 100,” amesema.
Ametoa
kauli hiyo leo mchana wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa
mkoa wa Lndi mara baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo kwenye Ikulu
ndogo wilayani Nachingwea. Waziri Mkuu amewasili wilayani Nachingwea
akiwa njiani kuelekea Ruangwa kwa mapunziko ya mwisho wa mwaka.
Amesema
Serikali ya awamu ya tano imedhamiria kutoa elimu ya bure kwa kila
mtoto sasa iweje watoto wengine wanafaulu na wanashindwa kujiunga na
elimu ya sekondari. “Tumesema elimu ni bure hakuna sababu ya kufanya
wengine wasiende shule wakati azma ya Serikali ni kutoa elimu ya bure.
Hakikisheni wote wanaingia katika chaguo la kwanza,” amesema.
Monday, December 26, 2016
JE WAJUA UMUHIMU WA PAPAI?
ASILI ya mpapai ni Amerika ya Kati, ambapo kuanzia matunda, majani na
utomvu wa mmea huu hutumiwa kama dawa maeneo mbalimbali duniani. Vile
vile, matunda na utomvu wake yamekuwa yakitumika kutengeneza pombe na
mvinyo katika baadhi ya nchi, huku wengine wakitumia mpapai kama dawa
kwa mifugo na binadamu.
SERIKALI YAENDELEA KUTO DAWA ZIZAZO TIBU SUMU YA NYOKA
SERIKALI
imesema itaendelea kutoa dawa zinazotibu sumu ya nyoka ili kupambana na
tatizo hilo nchini. Kauli hiyo ya serikali ilitolewa Dar es Salaam jana
na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy
Mwalimu.
“Kama tunavyofahamu nchi yetu ina aina mbalimbali za nyoka ambao pindi wakimuuma mtu huleta madhara mbalimbali ya kiafya. Aidha tunafahamu kwamba tatizo hili lipo zaidi katika maeneo ya vijijini ambako uwezo wa wananchi kumudu gharama za matibabu ni mdogo.”
“Kama tunavyofahamu nchi yetu ina aina mbalimbali za nyoka ambao pindi wakimuuma mtu huleta madhara mbalimbali ya kiafya. Aidha tunafahamu kwamba tatizo hili lipo zaidi katika maeneo ya vijijini ambako uwezo wa wananchi kumudu gharama za matibabu ni mdogo.”
VYAKULA HATARI KWA WANAUME,USIVITUMIE MARA KWA MARA.
Spearmint:
Hutumiwa zaidi kama kiambata kwenye chewing gums, candies, na breath freshener au kwenye majani ya chai (herbal tea). Spearmint pia in akiwango kikubwa cha estrogen
Hutumiwa zaidi kama kiambata kwenye chewing gums, candies, na breath freshener au kwenye majani ya chai (herbal tea). Spearmint pia in akiwango kikubwa cha estrogen

Mbegu za Flax (Flax seeds):
Wanaume wanapaswa kufahamu aina ya vyakula ambavyo si rafiki kwao katika kuongeza kiwango cha homoni ya kiume iitwayo testosterone inayochochea sifa ya mwanaume yaani kuwa na nguvu za kiume. Baadhi ya vyakula visivyofaa kuliwa na mwanaume aliyetaka kuwa na nguvu za kiume ni vile vyenye asili ya homoni ya kike iitwayo estrogen. Hivyo sio kila vyakula vinafaa kwa mwanaume eti ilimradi tu vyakula hivyo vinasaidia kujenga mwili au kujaza tumbo wakati mtu akiwa na njaa.
MAGAZETI YA LEO DEC-27-2016
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
MICHEZO,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA,
ULIMWENGU
MWANAFUZI AMEFARIKI DUNIA WAKATI AKIOGELEA SIKU YA CHRS-MASS
MWANAFUNZI wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Sekei iliyopo jijini
Arusha, Cliff Laiza (12) amekufa wakati akiogelea kwenye bwawa lenye
kina kirefu katika Hoteli ya Kitalii ya Mount Meru iliyopo jijini hapa
katika sherehe ya Krismasi.
Tukio hilo ni la juzi majira ya saa 12 jioni wakati Cliff na watoto wengine, walipokuwa wakiogelea katika hoteli hiyo, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Krismasi.
Tukio hilo ni la juzi majira ya saa 12 jioni wakati Cliff na watoto wengine, walipokuwa wakiogelea katika hoteli hiyo, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Krismasi.
WACHEZAJI WA YANGA MAMBO SAFI SASA HIVI ,WAPEWA MAMILIONI YAO.
Hatimaye kimeleeweka, hivi ndivyo utakavyoweza kutamka baada ya uongozi
wa Yanga kuwalipa wachezaji wake mshahara na posho zao za mechi za Ligi
Kuu Bara walizocheza.
Hiyo imekuja siku chache baada ya wachezaji hao kugomea mazoezi ya timu hiyo kwa siku mbili mfululizo, wakidai mshahara wa Novemba, mwaka huu.
Kwa mujibu wa chanzo kutoka kwenye benchi la ufundi la timu hiyo, wachezaji hao walilipwa mshahara na posho hizo juzi Ijumaa.
Hiyo imekuja siku chache baada ya wachezaji hao kugomea mazoezi ya timu hiyo kwa siku mbili mfululizo, wakidai mshahara wa Novemba, mwaka huu.
Kwa mujibu wa chanzo kutoka kwenye benchi la ufundi la timu hiyo, wachezaji hao walilipwa mshahara na posho hizo juzi Ijumaa.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
MICHZO,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
TAARIFA ZA KUSIKITISHA KUTOKA MANZESE DAR-ES- SALAAM
OFISI YA MBUNGE
Jimbo La Mikumi inalaani sana kitendo cha kinyama kilichofanywa na
Ndugu zetu wa jamii ya wafugaji kwa kujichukulia sheria mkononi na
kumjeruhi vibaya Ndugu Augustino Mtitu mkulima wa kitongoji cha
Upangwani, Kijiji cha Dodoma Isanga, Kata Ya Masanze Jimbo la Mikumi
ambapo leo tarehe 25 Desemba majira ya Mchana amechomwa mkuki mdomoni na
kutokezea nyuma ya shingo yake, ambapo alipelekwa hospitali ya wilayani
Kilosa na baadae amekimbizwa hospitali ya mkoa Morogoro ili kufanyiwa
operesheni ya kuondoa mkuki huo na kwa matibabu zaidi.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
MKUU WA MKOA WA ARUSHA AZUNGUMZIA SAKATA LA MWANDISHI WA HABARI.
Sakata
la mwandishi wa habari wa ITV Halfan Lihundi kukamatwa na kuwekwa
mahabusu kwa saa 24 kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Arumeru baada ya
kuandika habari ambayo haikumfurahisha mkuu huyo, limechukua sura mpya
baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kuingilia kati na kusema
waandishi wa habari wanao uhuru wa kuandika habari mahali popote katika
mkoa huo ili mradi wazingatie weledi katika taaluma.
SIASA, KITAIFA, KIMATAIFA, MICHEZO,
HOME,
KITAIFA,
SIASA,
SIASA. ULIMWENGU. KITAIFA
TAARIFA JUU YA UVUMI KUHUSU NOTI YA MIA TANO.
Benki
kuu ya Tanzania inapenda kuwafahamisha wananchi wote kuwa,habari
inayoenea katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba noti ya shilingi
mia tano haitatumika tena kuanzia Desemba 31, 92016; sio taarifa ya
kweli na ni uvumi unaopaswa kupuuzwa.
Ukweli
ni kwamba noti ya shilingi 500 itaendelea kuwepo katika mzunguko
sambamba na ile sarafu ya shilingi 500 hadi pale noti hiyo itakapotoweka
mikononi mwa wananchi. Tafadhali mpuuze taarifa hizo sio za ukweli.
Marcian Kobello.
Mkurugenzi wa Huduma za kibenki- BoT .
Subscribe to:
Posts (Atom)