Wednesday, December 28, 2016

YANGA YAIPA PRESHA SIMBA, BAADA YA KUSHINDA 4-0.

 Golikipa wa Ndanda FC, Jeremiah Kisubi akiokoa moja ya hatari langoni mwake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Yanga. Yanga imeshinda 4-0. (Picha na Francis Dande).
Wachezaji wa Yanga wakipongezana baada ya Amis Tambwe kuipatia timu yake bao.
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka beki wa Ndanda FC, Nassoro Kapama katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Yanga ilishinda 4-0

No comments:

Post a Comment