Friday, May 9, 2014

RAISI KIKWETE ALIPO KUTANA NA RAISI WA NIGERIA JIJINI ABUJA.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Goodluck Jonatahn wa Nigeria jijini Abuja jana pembeni ya Mkutano wa Dunia wa Uchumi. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment