
Ngombe
na mbuzi wakiwa wamesongamana chini ya mti pekee uliokuwepo katika
eneo lililopo karibu na Shule ya sekondari ya Oljoro mkoani Arusha
wakifuata kivuli ili kujikinga na jua Desemba 17, 2016. Uharibifu wa
mazingira unaosabishwa na shughuli za binadamu hasa ukataji miti hovyo
unaathiri hata viumbe wengine kama picha inavyoonyesha.
Wananchi
wakiwa wamebeba bango lenye maneno yanayoeleza suala la uharibifu wa
mazingira kuwa ni tatizo kwao katika mkutano uliohutubiwa na Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye kijiji cha Ondenderet, Arusha Desemba 17,
2016.
Mwendesha
pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda akiwa amejipumzisha katika eneo
lililoathiriwa na uharibifu wa mazingira unaofanywa na binadamu katika
kijiji cha Ormapinu, Arusha Desemba 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment