Kijana huyo ambaye hajajulikana jina kwa Mara moja akiwa ametundikwa
katika mti baada ya kukamatwa anaiba funguo za magari katika Garage moja
Soweto.
Kijana huyo akiomba msaada wa kutolewa hapo na kuomba msamaha
Kijana huyo akiendelea kuteseka
Hali inakuwa Mbaya zaidi
Kijana huyo akiwa anashushwa baada ya adhabu kali
No comments:
Post a Comment