Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe.Samweli Sitta
akijibu hoja za wabunge kabla Bunge halijapitisha Bajeti ya Wizara ya
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa Mwaka 2014/2015.
Maofisa wa wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki wakiwa pamoja
na Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakifuatilia kikao cha Bajeti ya
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa
Mwaka 2014/2015.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe.Samweli Sitta
akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya
Mashariki,Joyce Mapunjo mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara
hiyo kwa Mwaka 2014/2015.
Wabunge wa Afrika Mashariki wakiwasili Bungeni Mjini Dodoma.
Mbunge wa kuteuliwa Mhe.James Mbatia akifurahia jambo na Mhe.Shyrose Banji Mbunge wa Afrika Bunge la Afrika ya Mashariki.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki,Joyce
Mapunjo (kulia) akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano,Mhe.Samia Suluhu (kushoto) na Mhe.Celina Kombani.
Mbunge wa Chalinze,Mhe.Ridhiwani Kikwete (kushoto) akijadiliana jambo
na Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki,Mhe. Shyrose Banji
Wanachuo kutoka Chuo cha Mipango Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja
nje ya viwanja vya Bunge wakati walipofanya ziara ya kimafunzo Bungeni
na kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa
Mwaka 2014/2015.
Wanachuo kutoka Chuo cha Uuguzi Mirembe Dodoma wakiwa kwenye picha ya
pamoja nje ya viwanja vya Bunge wakati waliofanya ziara ya kimafunzo
Bungeni na kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya
Mashariki kwa Mwaka 2014/2015 .
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Mhe.Samweli Sitta na
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki ,Joyce
Mapunjo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Maofisa wa wizara yake pamoja
na Wabunge wa Afrika ya Mashariki mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti
ya Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki kwa Mwaka 2014/2015.
Picha na Deusdedit Moshi
No comments:
Post a Comment