Saturday, May 31, 2014

AJALI MBAYA HATOKEA MKOANI TABARA, IKIHUSISHA GARI DOGO NA TRENI.

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
                     BREAKING NEWS                                                          
Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugonga Treni eneo la kaloleni
Gari ikiwa imeharibika vibaya sana baada ya kugonga Treni
Wanainchi wa eneo hilo wakiwa wanatazama ajali hiyo baada ya kutokea

Taarifa zaidi itawajia Baadae  tunafuatilia kama kuna waliojeruhiwa na vifo...

No comments:

Post a Comment