Hapa B-Boy akijiandaa kukata keki
B-Boy akiwa na mpenzi wake kipenzi katika sherehe yake ya kuzaliwa upya
Bofya Hapa kupata picha nyingi zaidi. 
Akizidi kumpa madavidavi mpenzi wake
Yaaaani ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ma DJ wakiwa kazini kuakikisha mambo yanakwenda sawiya
Ma DJ wakiendelea kewapagawisha watu walio udhuria katika sherehe hiyo
No comments:
Post a Comment