Tuesday, June 10, 2014

VIJANA WATWANGANA KWA AJILI YA KUGOMBEA RIZIKI.

Shimo ambalo limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.Gari  la serikali likiwa limekwama kwenye shimo hilo.
Muonekano wa shimo ulivyo.Vijana wakilisukuma gari  hilo.Ugomvi ulivyoibuka katika kugawana fedha iliyotolewa na mwenye gari lililonasuriwa.Baada ya gari kukwamuliwa na kujitayarisha kuondoka.

No comments:

Post a Comment