Msanii ambaye yupo juu kwenye gemu ya muziki wa kizazi kipya Diamond
akifanya onesho LIVE chini ya udhamini wa MTVBASE ROAD TO MAMA
iliyofanyaka Club Bilicana usiku wa Ijumaa May 16, 2014 na baadae kuruka
kuelekea Uingereza ambako leo atafanya onesho lingine. Onesho la
Bilicana lilijumuisha wasanii mbalimbali ambao wamekuwa Nominated na
MTV. Diamond amefanya onesho hilo akiwa ametokea Uingereza alipokuwa
amekwenda kutengeneza video ya wimbo wake mpya na baada ya onesho hilo
alitarajiwa kukwea pipa na kurudi tena Uingereza ambapo kumetangazwa
atafanya onesho lingine leo Jumamosi katika Club ya Malibu
wakishirikiana na BONGOUK.
Diamond akifanya vitu vyake Club Bilicanas
BET Nominee Diamond Platnumz akiwa jukwaani LIVE club Bilicanas.
No comments:
Post a Comment