Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza wimbo wa mapokezi kutoka kwa
wasanii wa kundi la Hiari ya Moyo mara baada ya kuwasili kwenye Jimbo la
Urambo Magharibi ,wilaya ya Kaliua.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchanganya udongo wakati wa
ujunzi wa nyumba ya Daktari wa Zahanati katika kijiji cha Usindi.
Katibu Mkuu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mbunge wa Jimbo la
Urambo Magharibi Profesa Juma Kapuya baada ya kumaliza ukaguzi wa jengo
la Zahanati ya Kijiji cha Usindi.
Wakina Mama wa
wilaya ya Kaliua wakielekea kwenye eneo la mkutano ambapo Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana anatazamiwa kuhutubia.
Mbunge wa Jimbo
la Urambo Mashariki Mheshimiwa Samuel Sitta akisalimiana na Mbunge wa
Urambo Magharibi Profesa Juma Kapuya mara baada ya kukutana wakati wa
kukabidhiana ugeni unaongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana katika Kijiji cha Uhuru
No comments:
Post a Comment