Mchezaji wa QPR alipoteza jino akiwa uwanjani kama unavyoona jino
likiruka kutoka mdomoni baada ya kugogwa na mpira. Ni mambo ya ajari
kazini hayo hakuna wakulaumiwa.
Sehemu iliyotoka jino hilo ikiwa wazi kabisa kama ngema ya machimbo ya Tanzanite vile.
O'Neil akiwa chini maada ya jino kung'oka Dr wa timu akimpa huduma ya kwanza.
Hapa ni kama haamini kama jino limeng'oka bila nusukaputi lol.
No comments:
Post a Comment