Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe
Corsaletti akiongea katika uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol
vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay
jijini Dar es Salaam.
Wageni
na wafanyakazi wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania wakifuatilia uzinduzi
wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha
Mafuta kilichopo Masaki jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa Kituo Kipya cha Mafuta kilichopo Masaki jijini Dar es Salaam.
Gari litakalotumiwa katika mashindano ya Magari yanayotarajia kufanyika Mwishoni mwa wiki.
Wateja wakipatiwa huduma na wafanyakazi wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania.
Meneja
Mauzo wa Vilainishi vya Castrol, Gilbert Chacha akizungumza wakati wa
uzinduzi ambapo alisema kuwa Vilaainishi vya Castrol vina ubora wa
kimataifa na hutumika katika magari, viwanda, meli, ndege. Kwa sasa wana
aina mbili za Vilainishi hivyo Castrol GTX 20W50 na GTX Diesel 15W40.
Pembeni yake niMshereheshaji Shebe Machumani na dereva wa gari la
Mashindano.
Meneja wa Usalama wakati wa Kazi wa Kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Jonathan Mmari akizungumza machache.
Walioko
mbele kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya PUMA Energy
Tanzania, Dkt. Ben Moshi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA
Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti wakiwa na wageni waalikwa
wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi
wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti
akionyesha picha ya sanamu itakayotumika kutambulisha vilainishi vya
Castrol wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na
uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es
Salaam. Pembeni yake ni Mshereheshaji Shebe Machumani.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti na
Mshereheshaji Shebe Machumani wakionyesha vilainishi vya Castrol.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti
akitoa zawadi ya pesa taslimu shilingi laki mbili kwa mfanyakazi bora
namba tatu wa Mwezi wa Aprili, Andrew Jagy wakati wa uzinduzi wa
Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha
Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni
Mshereheshaji Shebe Machumani.
Mfanyakazi
bora namba mbili wa Mwezi wa Aprili, Samwel Joseph akionyesha pesa
taslimu shilingi laki na nusu alizozawadiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa
kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti wakati wa
uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo
kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake
ni Mshereheshaji Shebe Machumani.
Mwenyekiti
wa Bodi ya kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Dkt. Ben Moshi akimkabidhi
Mfanyakazi bora namba moja wa Mwezi wa Aprili, Janeth Martine pesa
taslimu shilingi laki mbili na nusu wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya
Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo
Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa
kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora wa mwezi Aprili. Kampuni hiyo hutoa zawadi kila mwezi kwa wafanyakazi wanaofanyakazi vizuri. Picha zote na Cathbert Kajuna
No comments:
Post a Comment