Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mfanyabiashara na mwekezaji
maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote katika uwanja wa ndege wa kiwanda
chake cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant kilichoko kilomita 400
Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9, 2014. Kushoto ni
Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Mhe. Dkt. Ishaya Samaila Majanbu
Rais
Dkt Jakaya Mrisho kikwete akipata maelezo toka kwa mfanyabiashara na
mwekezaji maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote wakati akizungushwa
kuangalia kiwanda cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant kilichoko
kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9, 2014

Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa kwenye machimbo ya kiwanda cha
saruji cha Dangote Cement Obajan Plant kilichoko kilomita 400 Kaskazini
Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa kwenye mtambo wa kuzalisha umeme
wa kiwanda cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant kilichoko
kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9, 2014
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa na mfanyabiashara na mwekezaji
maarufu wa Nigeria Alhaj Aliko Dangote kujionea maeneo mbalimbali ya
kiwanda cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant kilichoko kilomita
400 Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9, 2014. Kushoto ni

Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa aina ya mali ghafi inayotumika
alipotembelea kiwanda cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant
kilichoko kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9,
2014

Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika mfuko wa saruji
alipotembelea kiwanda cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant
kilichoko kilomita 400 Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9,
2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa baada ya kutembelea kiwanda
cha saruji cha Dangote Cement Obajan Plant kilichoko kilomita 400
Kaskazini Mashariki mwa Lagos alipotembela May 9, 2014
No comments:
Post a Comment