Wednesday, May 14, 2014

KILICHO MFANYA J-Z ALAMBWE VIBAO NA SHEMEJI WAKE.

Beyonce na mumewe Jay -z wakionekana kuondoka na baada ya mdogo wake kumwasha vibao
mumewe.
Mdogo wake Beyonce, Solange akiwa kwenye tukio baada ya kumuwasha shemeji yake vibao.
Siku moja baada ya Video kutoka inayomuonesha Solange akimpa kibano shemeji yake Jay - Z, Solange aliamua kuzifuta picha zote za dada yake Beyonce kutoka kwenye social media zake na kubakiza moja ya Beyonce na yeye waliyopiga na music Director Melina Matsoukas.
Solange hajaongea chochote tangia video itoke inayomuonyesha akimpa kibano shemeji yake Jay - Z ndani ya lift ya Hotel ya Standard kwenye hafla ya baada Met Gala.
Chanzo kinasema hii si mara ya kwanza kwa Solange kuwaijia juu Bey na Jay ilishatokea huko nyuma.
Watatu hawa walikuwa wa kwanza kufika na wa kwanza kuondoka kwenye Met Gala na ilikuwa kama wangeondoka gari moja lakini Salonge alivyoingia kwenye gari kwa kukaa kiti cha mbele dada yake Beyonce aliingia nae kwenye gari hilo hilo lakini Jay - Z aliingia kwenye gari

No comments:

Post a Comment