DIAMOND KUSHINDA TUZO YA BET.
Msanii
kutoka Tanzania Diamond Platnumz ameipa tena heshima Bendera ya Tanzania
kwa kuwa kwenye kipengelecha msanii bora wa kimataifa (Best
International Act) Hii ni hatua kubwa kwa Diamond baada ya siku
chache tu nyuma alitangazwa kwenye tuzo za MTV Base (Mama Awards)
No comments:
Post a Comment