ANGALIA PICHA RAGE APATA AJALI AKIWA NJIANI KUELEKEA DODOMA
Mbunge wa Tabora Mjini (CCM) Ismail Aden Rage, ambaye pia ni mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba, akiwa amelazwa kwenye hospitali ya Rufaa,
Dodoma, Jumatatu Agosti 4, 2014. Rage alipata ajali eneo la Chigongwe,
nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma, wakati akielekea mjini humo tayari
kushiriki vikao vya Bunge Maalum vinavyoanza Jumanne Agosti 5, 2014.


Mbunge wa Sikonge mkoani Tabora kupitia CCM, ambaye pia ni Mujumbe wa
Bunge Maalum la Katiba, Said Nkumba, akimjulia hali Rage, hospitalini
mjini Dodoma, Jumatatu Agosti 4, 

No comments:
Post a Comment