Monday, August 4, 2014

KWA NAMNA HII MADEREVA WATAENDELEA KUUA ABIRIA.

IMG_6581 IMG_6590Basi la kamwana express likilipita lori kwa mwendo kasi karibu na eneo la Chalinze mkoani Pwani huku dereva huyo akijua sheria za bararani kuwa ni marufuku kulipita gari nyingine  na anajua wazi kuwa mbele kuna gari inakuja . Hutua hii inasababisha kukosekana kwa usalama wa abiria na raia

No comments:

Post a Comment