

Watanzania wa DMV wakijumuika pamoja katika sala Eid iliyofanyika leo Silver Spring katika msikiti uliopo New Hampshire leo Jumatatu July 28, 2014.

Mwinyikheri Mkwavi akiwa na Dedi Luba wakipata picha baada ya sala ya
Eid kuisha katika msikiti uliopo New Hampshire Silver Spring, Maryland.

Watanzania wakijumuika pamoja leo Jumatatu July 28, 2014 katika sala
ya Idd iliyofanyika New Hampshire, Silver Spring, Maryland kulia ni
Afisa Ubalozi wa maswala ya uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Bwn. Abbas Missana.

Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Bwn. Suleiman Saleh katika
picha ya pamoja na Mwinyikheri Mkwavi. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi








No comments:
Post a Comment