Friday, July 25, 2014

RAIS KIKWETE MGENI TASMI, SIKUU YA MASHUJAA.

PIX 8.    
PIX 9.
Raisi Kikwete akiwa na Mkuu wa majeshi katika maadhimisho ya siku ya mshujaa ambayo kitaifa yamefanyika jijini Dar Es Salaam kwenye viwanja vya mnazi mmoja.
PIX 1. 
Kikosi cha jeshi la wananchi wa Tanzania
PIX 2. (1) 
Gwaride likiendelea kwenye viwanja hivyo
PIX 8.
Raisi Kikwete akiingia kwenye viwanja vya mnazi mmoja akiwa na mkuu wa majeshi

No comments:

Post a Comment