WAFANYAKAZI wa Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Morogoro wamesema ujio wa kesi ya
Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu nchi Sheikh Ponda Issa Ponda mahakamani hapo umesaidia kubadilisha mandhar ya Mahakama hiyo.
Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi mjini hapa mara baada ya kuahirishwa kwa shauri la shekhe huyo mapema leo, baadhi ya wafanyakazi ambao hawakutaka majina yao yaandikwe kwenye ukurasa huu wamesema kabla ya sheikh Ponda kuletwa mahakamani hapo, kulikuwa hakuna uzio wa tofali.
"Sikiliza ndugu yangu, twende mbele na kurudi nyuma, Sheikh Ponda
amesaidia sana kuifanya mahakama hii kuwa na heshima na hasa baada ya
serikali kuamua kujenga uzio huu kwa lengo la kuzuia wafuasi wa sheikh
wasiweze kuingia kwa urahisi", alisema askari mmoja mwenye cheo cha
mkaguzi.
Aidha mfanyakazi mwingine aliyejitambulisha kuwa ni karani mahakamani hapo, alimweleza mwandishi wetu kuwa, haelewi sababu za serikali kuendelea na kesi ya sheikh huyo wakati ambapo amedai haoni sababu za msingi.
Sheikh Ponda anakabiliwa na mashitaka matatu likiwemo la uchochezi anayodaiwa kufanya Agost mwaka jana katika manispaa ya Morogoro.
Kesi hiyo namba 128/2013 imeahirishwa tena leo hadi Mei 5, 2014 siku ya Jumatano.
WAFANYAKAZI wa Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Morogoro wamesema
ujio wa kesi ya Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu nchi Sheikh
Ponda Issa Ponda mahakamani hapo umesaidia kubadilisha mandhar ya
Mahakama hiyo.Aidha mfanyakazi mwingine aliyejitambulisha kuwa ni karani mahakamani hapo, alimweleza mwandishi wetu kuwa, haelewi sababu za serikali kuendelea na kesi ya sheikh huyo wakati ambapo amedai haoni sababu za msingi.

No comments:
Post a Comment