Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akimlaki Waziri Mkuu wa
Msumbiji, Alberto Vaquina aliyewasili leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM, Lumumba, Dar es Salaam., ambapo walipata wasaa wa kufanya
mazungumzo. Katikati ni Vicente Veroso Balozi wa Msumbiji nchini. PICHA
NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 |
Kinana akisalimiana na Balozi wa Msumbiji nchini, Vicente Veroso |
 |
Kinana akijadiliana jambo na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Vaquina |
 |
Kinana akielekea na mgeni wake ofisini kufanya mazungumzo |
Kinana akiwa na mgeni wake ofisini
No comments:
Post a Comment