Sunday, August 3, 2014

ARSENAL WENGER , AJIPA MATUMAINI YA KUFANYA VIZURI KWENYE LIGI KUU MSIMU HUU.

 
    Alexis Sunchez ndani ya jersey ya Arsenal mbele ya mashabiki ndani ya Emirates.
Arsenal Wenger akiwa na sura ya matumini baada ya ushindi wa kishindo zidi ya Benfica kwenye mchezo wa Emirates Cup, mchezo huo uliofanyika kwenye uwanja wa Emirates London na Arsenal kuibuka na ushindi wa bao 5 kwa 1. Yaya Sanogo na Joel Campbell ndiyo wachezaji walieongoza mauaji hayo ya kwanza kwa Arsenal kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Emirates London na ikiwa ni mwanzo mzuri kabla ya ligi kuanza mwezi huu.
Yaya Sanogo alifunga goli nne na Joel Campbell goli moja wakishangilia kwa pamoja

Alexis Sunchez ndani ya jersey ya Arsenal mbele ya mashabiki ndani ya Emirates.
Wapenzi wa Arsenal wakipagawa kwa ushindi zidi ya Benfica
Joel Campbell akishangilia ndani ya Emirates.

No comments:

Post a Comment