Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf
ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaaza sauti) akiongoza dua katika futari
aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu
mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai
16, 2014
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum
(aliyesimama kushoto), akitoa neno la Shukurani baada ya futari
aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu
mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai
16, 2014
Sehemu ya waliohudhuria katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho
Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu
jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru viongozi wa madhehebu
mbalimbali wa dini ya Kiislamu kwa kuhudhuria katika furari
aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na viongozi wa madhehebu
mbalimbali wa dini ya Kiislamu katika furari aliyowaandalia kulu jijini
Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
No comments:
Post a Comment