Jambo leo wameripoti kwamba gari la Mbowe lililokamatwa ni lile la kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ambapo limekamatwa kwenye msako wa magaidi na uhalifu nchini humo na Polisi wanamsubiri Mbowe na Wenje kwa mahojiano.
Uhuru wameandika shangingi la Mbowe lakamatwa Kenya, alikwenda huko na Ezekia Wenje, dereva wake ahojiwa
No comments:
Post a Comment