Wednesday, April 9, 2014

MATOKEO YA MWANZO YA JIMBO LA CHALINZE

chalinze                                                                                                                                                                     Haya ni Matokeo ya awali kwa baadhi ya vituo kutoka jimbo la Chalinze ambayo matokeo yao yanaonyesha kuwa mgombea ubunge jimbo hilo kupitia wa CCM Ridhiwani Kikwete anaongoza kwa sasa.
IMG-20140406-WA0004Kazi ya kuhesabu kura katika Jimbo la Chalinze bado inaendelea na matokeo yanategemewa kutangazwa muda wowote kuanzia sasa,Rais Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wamejitokeza kupiga kura katika kituo cha shule ya Msingi Msoga kuchagua mbunge wa Chalinze.
kikwete
2                                                 Zoezi la upigaji kura limemalizika kwa utulivu.

No comments:

Post a Comment